Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO yasema ukosefu wa usalama ukichochea visa vya Ebola, DRC, sasa watoa chanjo kutumia helkopta

WHO yasema ukosefu wa usalama ukichochea visa vya Ebola, DRC, sasa watoa chanjo kutumia helkopta

Pakua

Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema visa vipya vya Ebola 27 vilivyothibitishwa vimeripotiwa katika majimbo ya Ituri na Kivu kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. 

Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Audio Duration
2'30"
Photo Credit
UN Photo/Martine Perret