Ituri

DRC, vikundi vilivyojihami vyatesa jamii, watu wauawa kwa kukatwa mapanga

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limetoa wito kwa mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya

Sauti -
2'22"

Vikundi vilivyojihami vyatesa jamii DRC, watu wauawa kwa kukatwa mapanga

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limetoa wito kwa mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, ziimarishe uwepo wa jeshi na polisi kwenye maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo ili kunusuru maisha ya raia wanaoendelea kuteseka na kuuawa na vikundi vilivyojihami.

08 JUNI 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo Ikiwa ni siku ya bahari duniani 
Sauti -
12'4"

Watu 16 wauawa Ituri, DRC wakiwemo watoto, UNICEF yalaani

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limelaani mauaji ya watu 16 jimboni Ituri nchini Jamhuri ya Kideokrasia ya Congo, DRC wakiwemo watoto 5 wa kike wenye umri wa chini ya miaka 15.
 

Watu 1,300 wauawa DRC kwa kipindi cha miezi 8:OHCHR

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa leo imesema takribani watu 1,300 ambao ni raia wameuawa katika matukio tofauti yanayohusisha makundi ya watu wenye silaha na vikosi vya serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC katika kipindi cha miezi minane iliyopita.

Sauti -
2'26"

Watu 1,300 wauawa DRC kwa kipindi cha miezi 8:OHCHR

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa leo imesema takribani watu 1,300 ambao ni raia wameuawa katika matukio tofauti yanayohusisha makundi ya watu wenye silaha na vikosi vya serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC katika kipindi cha miezi minane iliyopita.

Vituo rafiki kwa watoto jimboni Ituri vyasaidia watoto kujifunza

 Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, linaendesha vituo rafiki kwa watoto kukusanyika kucheza na kujifunza, baada ya watoto hao kujikuta wakimbizi wa ndani kutokana na ghasia katika jimbo la Ituri.

Zaidi ya watu 250,000 wakimbia machafuko yanayoendelea Ituri:UNICEF

Watu zaidi ya robo milioni wengi wakiwa ni watoto wamekimbia machafuko yanayoendelea kushika kasi katika jimbo la Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC tangu mwanzoni mwa mwaka huu limeonya leo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF.

14 Mei 2020

Mwakilishi wa WHO Burundi afurushwa, ofisi ya WHO kanda ya Afrika yazungumza.

Sauti -
12'36"

Hali si shwari Ituri nchini DRC-OHCHR

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa, OHCHR, imesema inatiwa hofu kubwa na mauaji ya zaidi ya watu 150 katika m

Sauti -
2'51"