23 Septemba 2019

23 Septemba 2019

Miongoni mwa atakayokuletea Grace Kaneiya kwenye Jarida la Umoja wa Mataifa

-Bila kutimiza huduma za afya na za msingi kwa jamii zote duniani utekelezaji wa SDGs waninekana kama ndoto kwa mujibu wa WHO na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

-Nchini Uganda wanaichi wanena kuhusu changamoto za huduma za afya

-Wakati wa kuchukua hatua dhidi ya tabia nchi ni sasa kunusuru kizazi kilichopo na kijacho wasema Umoja wa mataifa kwenye mkutano dhidi ya tabianchi

-Na leo ni siku ya kimataifa ya lugha za ishara ambazo ni muhimu katika kuhakikisha watu zaidi ya milioni 72 wanaohitaji lugha hiyo hawaachwi nyuma

-Makala yetu leo inatupeleka Kenya kwa mtandao wa vijana wanajikita na kilimo kinachojali mazingira

- Mashinani utamsikia kijana kutoka jamii ya watu wa asili akizungumza mtihani wa mabadiliko ya tabia nchi kwa watu hao

 

Audio Credit:
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration:
11'56"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud