Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Rwanda na DRC wachukua hatua kuimarisha uhusiano mpakani vita dhidi ya ebola

Rwanda na DRC wachukua hatua kuimarisha uhusiano mpakani vita dhidi ya ebola

Pakua

Serikali za Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC zimekuwa na mazungumzo huko Goma, jimboni Kivu Kaskazini kuona ni jinsi gani ya kuimarisha uhusiano wao mpakani na kuleta mazingira bora kwa mataifa yote ya ukanda wa Maziwa Makuu. Sifa Magoro wa Radio Okapi ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, ana taarifa zaidi.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Sifa Magoro
Audio Duration
1'24"
Photo Credit
Finnish Red Cross/Maria Santto