Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mafunzo ya MONUSCO yawaangazia nuru waathirika wa ukatili wa kingono DRC

Mafunzo ya MONUSCO yawaangazia nuru waathirika wa ukatili wa kingono DRC

Pakua

Umoja wa Mataifa umeendelea na kampeni ya kukomesha ukatili na unyanyasai wa kingono katika maeneo yenye mizozo huku ukiimarisha miradi ya kuwasaidia waathirika wa janga hilo. Nchini Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo , DRC  Umoja wa Mataifa umewasaidia  wanawake wengi waathirika kwa miradi mbalimbali. 

Audio Credit
UN News/John Kibego
Audio Duration
1'53"
Photo Credit
UN Photo/Staton Winter