SEA

17 JANUARI 2020

Katika Jarida la makala kwa kina Ijumaa ya leo Grace Kaneiya anakuletea

Sauti -
9'57"

Mradi wa kuoka mikate unaofadhiliwa na UN umeokoa familia yangu:Bichuna

Mradi wa Umoja wa Mataifa wa kuwasaidia waathirika wa ukatili wa kijinsia na kingono (SEA) katika mizozo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, umeendelea kuleta nuru kwa wanawake wengi na familia zao DRC ambayo imeghubikwa na vita kwa miongo sasa.

Sauti -
3'46"

14 JANUARI 2020

Katika Jarida la Habari hii leo kutoka Umoja wa Mataifa Grace Kaneiya anakuletea 

Sauti -
10'41"

Suluhu za kisiasa ni kiungo muhimu cha amani ya kudumu- Lacroix

Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa, Jean-Pierre Lacroix amesisitiza kwamba ulinzi wa amani unasalia kuwa nguzo ya mataifa mengi isiyokwepeka kwa ajili ya kuzuia mizozo na kupunguza hatari ya kutofikia amani ya kudumu.

Mfuko wa UN waleta nuru kwa maelfu ya manusura wa ukatili wa kingono

Takriban watu 3,340 wakiwemo wanawake, watoto na wanaume wamenufaika na mfuko wa Umoja wa Mataifa wa kusaidia manusura wa vitendo vya ukatili wa kingono vilivyofanywa na wafanyakazi wa umoja huo.

Miradi ya MONUSCO ni neema kwetu:Waathirika wa ukatili wa kingono

Ukatili wa kingono na unyanyasaji wa kijinsia ni moja ya changamoto kubwa katika maeneo yenye vita na waathirika wakubwa ni wanawake na wasichana. Manusura hawa hujikuta hawana msaada wala pa kushika baada ya wengine kuachwa na ujauzito , watoto na hata maradhi.

Sauti -
3'47"

18 Juni 2019

Hii leo tunaanzia Uganda kuangalia mtazamo wa wananchi katika harakati za kukabili Ebola na mwandishi wetu John Kibego amevinjari Buliisa. Huko DRC nako si shwari walendu na wahema wapigana na maelfu wafurushwa.

Sauti -
12'32"

Mafunzo ya MONUSCO yawaangazia nuru waathirika wa ukatili wa kingono DRC

Umoja wa Mataifa umeendelea na kampeni ya kukomesha ukatili na unyanyasai wa kingono katika maeneo yenye mizozo huku ukiimarisha miradi ya kuwasaidia waathirika wa janga hilo.

Sauti -
1'53"

13 Juni 2019

Miongoni wa Habari za zinazoletwa kwako na arnold Kayanda katika jarida la leo ni 

-Siku ya kimataifa ya uelimishaji dhidi ya ukatili kwa watu wenye ulemavu wa ngozi, utamsikia mwanamuziki Lazarus kutoka Malawi mlemavu wa ngozi ambaye sasa maisha yake yamebadilika

Sauti -
11'50"

Mradi wa UN umenikomboa mimi na familia yangu DRC:Feza Hamis

Umoja wa Mataifa umeendelea na kampeni ya kukomesha ukatili na unyanyasai wa kingono katika maeneo yenye mizozo huku ukiimarisha miradi ya kuwasaidia waathirika wa janga hilo. Nchini Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo , DRC  Umoja wa Mataifa umewasaidia  wanawake wengi waathirika kwa miradi mbalimbali. John Kibego na tarifa zaidi