Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ripoti maalum yasema shule nyingi duniani hazina maji safi na salama ya kunywa

Ripoti maalum yasema shule nyingi duniani hazina maji safi na salama ya kunywa

Pakua

Wiki ya maji ikiwa inaendelea kuadhimishwa kote duniani, inaelezwa kuwa asilimia 69 ya shule ulimwenguni kote hazina huduma ya maji ya kunywa, imesema ripoti ya kwanza ya mashirika ya Umoja wa Mataifa iliyoangazia makadirio ya upatikanaji wa maji ya kunywa, huduma za kujisafi na usafi shuleni.

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
1'50"
Photo Credit
© UNICEF/Sebastian Rich