Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

16 Agosti 2018

16 Agosti 2018

Pakua

Jaridani hii leo na Patrick Newman, tunaanzia nchini Tanzania ambako Naibu Kamishna mkuu wa wakimbizi wa Umoja wa Mataifa amehitimisha ziara yake. Bwana Turk ametembelea kambi ya wakimbizi wa Nduta mkoani Kigoma.  Atakupeleka pia Amerika ya Kusini ambako mustakhbali wa watoto uko mashakani hususan wale wanaorejeshwa kutoka Mexico na Marekani.  Nchini Malawi, wanawake wawili huko Malawi na simulizi tamu na chungu za uzazi. Kuhusu Makala tunaungana na John Kabambala kutoka Tanzania na mashinani baba mmoja anazungumzia faida ya mafunzo ya kulea watoto aliyopata kupitia UNICEF. Karibu!

 

Audio Credit
Patrick Newman
Audio Duration
12'48"