Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utalii unatoa fursa za kipato kwa wengi ikiwemo wakulima- UNCTAD

Utalii unatoa fursa za kipato kwa wengi ikiwemo wakulima- UNCTAD

Pakua

Utalii ni moja ya sekta ambazo inachangia mapato ya nchi huku ikielezwa kuwa mapato yatokanayo na sekta hiyo yameongezeka kutoka dola bilioni 69 kati ya mwaka 1995-1998 hadi dola bilioni 196 kati ya mwaka 2011-2014.

Aidha nchi barani Afrika ni wanufaika wa sekta hii ambayo inatoa fursa za ajira za moja kwa moja katika sekta ya utalii na pia kwa wakulima kwa mfano nchini Tanzania. Basi ungana na Assumpta Massoi wa Idhaa hii katika mahojiano yake na Jane Muthambi, afisa uchumi wa UNCTAD kitengo cha Afrika.

Photo Credit
Pwani ni moja ya kivutio cha watalii, hapa ni mvuvi nchini Tanzania.(Picha:UM/Milton Grant)