Wanyama pori mtaji Uganda, serikali yaomba walindwe

Wanyama pori mtaji Uganda, serikali yaomba walindwe

Pakua

Dunia ikiwa imeadhimisha siku ya viumbe vya porini wakiwamo wanyama, nchini Uganda sekta ya wanayama pori huingiza serikali mabilioni ya fedha lakini viumbe hao wanakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwamo uwindaji haramu.

Mwandishi wetu John Kibego ameandaa makala ifuatayo, ungana naye.

Photo Credit