Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yakabiliana na Unyanyapaa kwa waathirika wa Ukimwi Kenya

UNICEF yakabiliana na Unyanyapaa kwa waathirika wa Ukimwi Kenya

Pakua

Unyanyapaa ni tatizo kubwa kwa vijana wanaoambukizwa virusi vya Ukimwi, amesema Grace Muthoni, kiongozi wa taasisi iitwayo Max Facta Youth Group inayojishughulisha na vijana waliopata maambukizi ya ukimwi nchini Kenya.

Katika kutatua tatizo la unyanyapaa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linawawezesha vijana hao kwa naman nyingi ikiwamo kujitokeza hadharani kutoa elimu ili kuwawezesha wengine.

Ungana na Joseph Msami katika Makala ifuatayo.

Photo Credit
Mtoto Valentine.(Picha ya UNICEF/Video capture)