Idadi ya wakimbizi wa Syria wanaoingia Jordan yaongezeka: IOM 21 Januari 2013 Mahojiano Pakua Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limesema kuwa wakimbizi wanaokimbia machafuko Syria kuelekea Jordan wanaendelea kuongezeka. Jumbe Omar Jumbe, ambae ni msemaji wa IOM, amezungumza na Radio ya Umoja wa Mataifa kuhusu suala hilo. Human rights Humanitarian aid Mahojiano Middle East Peace and security Women, children, population