Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ugonjwa wa kisukari unaweza kuzuilika:UM

Ugonjwa wa kisukari unaweza kuzuilika:UM

Pakua

Shirikisho la kimataifa la maradhi ya Kisukari IDF na shirika la afya duniani WHO wanasema maradhi ya kisukari yanaweza kuzuuilika kwa watu kuzingatia masharti ikiwemo kula vyakula vinavyofaa, kufanya mazoezi, kupungza unene na kuepuka matumizi ya tmbaku.

Leo ikiadhimishwa siku ya kisukari duniani takwimu zinaonyesha kuwa watu takribani milioni 4 wanakfa kila mwaka kutokana na ugonjwa wa kisukari na wengi wao wanatoka nchi za kipato cha wastani na kipato cha chini.

Maradhi hayo yasiyo ya kambukiza yanamkumba kila mtu hata watoto wadoko na yanasababisha shinikizo kubwa kuanzia ngazi ya familia hadi serekali. Wanannchi hawa wa Afrika ya Mashariki wanaelezea ufahamu wao na maoni kuhusu ugonjwa wa kisukari.

(MAONI KUHSU KISKARI)