Kampeni ya UNDP Tanzania ya kukabili misimamo mikali yainua vijana kiuchumi Kilwa Masoko mkoani Lindi
Nchini Tanzania, shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo, UNDP linatekeleza mradi wa kukabili misimamo mikali kupitia kampeni ya amani kama njia mojawapo ya kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.