09 FEBRUARI 2024
Katika Jarida la habari la Umoja wa Mataifa hii leo Anold Kayanda anakuletea
Katika Jarida la habari la Umoja wa Mataifa hii leo Anold Kayanda anakuletea
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mkuu wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anachambua methali “Mjinga akierevuka, mwerevu yupo mashakani.”
Nchini Tanzania, shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo, UNDP linatekeleza mradi wa kukabili misimamo mikali kupitia kampeni ya amani kama njia mojawapo ya kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.
Nchini Niger shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia watoto UNICEF linaendesha program mbalimbali za kusaidia kupambana na utapiamlo mkali kwa watoto kwa kutoa virutubisho, kuhakikisha kuna upatikanaji wa huduma bora za lishe na usaidizi wa unyonyeshaji.
Vita huko Gaza kati ya Israel na wanamgambo wa kipalestina Hamas ikiingia mwezi wa tano hii leo Jumatano na kuwa imesababisha vifo va wapalestina 27,585 na takribani 70,000 wamejeruhiwa, Mkuu wa masuala ya misaada ya dharura kwenye Umoja wa Mataifa amekaribisha dalili za mapema za uwezekano wa si
El Niño ambao ni mkondo joto, ni hali ya kawaida inayotokea kwenye baharí ikihusisha joto la hewa baharini na wataalamu wanasema unaweza kuvuruga tena kwa kiasi kikubwa mienendo ya hali ya hewa duniani.