Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

UN Photo/Eskinder Debebe

Brigedia Jenerali Zarrar Haider ametembelea kikosi cha 6 cha walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania, TANBAT 6

Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, MINUSCA Kanda ya magharibi Brigedia Jenerali Zarrar Haider ametembelea kikosi cha 6 cha walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania, TANBAT 6 kilichoweka kambi Berberati, Mambéré-Kadéï.

Sauti
2'3"