Guterres asikitishwa na shambulio la New York
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameelezea kusikitishwa na kutiwa hofu na shambulio llilofanyika jijini New York Marekani Jumanne, katika mji ambao ndiko makao makuu ya Umoja wa Mataifa.

Uwekezaji katika ujasiriamali ni muhimu katika kufanikisha lengo nambari 9 la maendeleo endelevu la kuwa na miundombinu imara, kuchagiza viwanda endelevu na kukuza ubunifu, amesema leo naibu mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo ya viwanda UNIDO, Hiroshi Kuniyoshi.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesihi serikali zichukue hatua kuhakikisha kila mtu anapata huduma ya nishati salama iwe ya kupikia au ya kuangazia mwanga.
Vijana vijana vijana! Umoja wa Mataifa unasema ndio muarobaini wa kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.
Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC, shirika la afya ulimwenguni WHO na ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo, MONUSCO wamewasilisha dawa kwa wahanga wa mlipuko wa ugonjwa kipindupindu kwenye eneo la Walikale, jimbo la Kivu Kaskazini, ugonjwa ambao umesababisha vifo vya watu 29 ndani ya