IOM yawasilisha msaada kwa wakimbizi 26,000:Syria
Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limeanza kufikisha msaada kwa wakimbizi wa Syria 26,000 familia zinazowahifadhi na familia za Kilebanon zinazorejea huko Kusini mwa Lebanon.
Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limeanza kufikisha msaada kwa wakimbizi wa Syria 26,000 familia zinazowahifadhi na familia za Kilebanon zinazorejea huko Kusini mwa Lebanon.
Ikiwa leo ni siku ya kupiga vita matumizi na usafirishaji wa madawa ya kulevya, huko Tanzania Zanzibar, yaelezwa kuwa vijana waliotumbukia katika matumizi ya madawa ya kulevya wanapatiwa misaada na makazi maalum ya kuwarekebisha tabia zao yajulikanayo kwa kiingerezakamaSober House.Mmoja wa wamili
Ikiwa Juni 25 ni siku ya kimataifa ya mabaharia, Umoja wa Mataifa umezungumzia umuhimu wa zaidi ya mabaharia Milioni Moja na nusu duniani kote ambao huwezesha kusafiri salama kwa shehena mbali mbali baina ya mabara, nchi na maeneo.
Kwa mara ya kwanza ripoti ya Maendeleo ya binadamu inayoandaliaw na shirika la mpango wa maendeleo la Umoja wa Mataifa imekuwa na muhtasari wake katika lugha ya Kiswahili.
Huko Burkina Faso wiki hii kulitiwa saini makubaliano ya amani kati ya serikali ya Mali na kundi la MNLA yanayoweka uwanja wa kuelekea kwenye uchaguzi wa rais na kuanzishwa kwa duru la mazungumzo ya amani baina ya serikali ya mpito na kundi la vugu vugu la kitaifa kwa ajili ya mali, MN
Leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza kuenea kwa jangwa ambapo ujumbe ni kwamba usiache mustakhbali wetu ukauke, ukijikita katika misitu ambayo ndiyo inategemewa kwa uhai wa sayari hii adhimu dunia.
Shirika la afya duniani, WHO limetoa mwongozo mpya wa muda wa tiba dhidi ya Kifua Kikuu sugu, MDR-TB duniani. Lengo ni kupunguza muda wa tiba ikilinganishwa na sasa. Miongoni mwa nchi husika ni pamoja naTanzania. Je ni lini tiba mpya hiyo itaanza?.
Wakati mkutano wa 102 wa Shirika la kazi duniani ILO ukiendelea mjini Geneva mwakilishi wa serikali ya Tanzani katika mkutano huo Katibu wa wizara ya Kazi wa Tanzania Eric Shitindi anasema licha ya changamoto kadhaa za kazi zinazoikumba nchi hiyo iliyoko Afrika Mashariki , mkutano huo utatumiwa k
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limejikita katika kuwasaidia watoto walemavu nchini Mali kwa kuanzisha shule maalum inayofundisha watoto hao katika eneo la Bamako.
Serikali ya Burundi imepitisha sheria mpya za vyombo vya habari, zilizotiwa saini na Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza, ambazo waandishi wa habari , wadau wa kutetea maslahi ya vyombvo vya habari na asasi zisizo za kiserikali wanasema sheria hiyo mpya sio tuu itakuwa adha kwa waandishi bali bil