Kushiriki ulinzi wa amani kulibadilisha maisha yangu: Insp. Kaneng Muro
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Walinda Amani leo Mei 29, tumezungumza na baadhi ya watu ambao wamejitolea kutoa huduma hiyo muhimu.
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Walinda Amani leo Mei 29, tumezungumza na baadhi ya watu ambao wamejitolea kutoa huduma hiyo muhimu.
Kazi ya walinda amani ina changamoto kubwa, lakini pia faida nyingi. Leo, Mei 29, ulimwengu unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Walinda Amani. Lakini je, raia wa kawaida wanaiona vipi kazi ya walinda amani? Na je, raia hao wangeombwa wajiunge na kazi ya kulinda amani, wangefanya hivyo?
Nchini Uganda utapiamlo unaathiri watoto zaidi ya Milioni Mbili walio na umri wa chini ya miaka mitano. Hii ni changamoto kwa ufikiaji wa malengo ya maendeleo ya milenia hususan lile la kupunguza vifo vya wajawazito na watoto wachanga. Je ni hatua gani zinafanyika?
Umoja wa Mataifa unajivunia kuendelea kushirikiana na Umoja wa Afrika na wakazi wa bara hilo katika kuweka mazingira ya fursa na matumaini kwa wote, ni ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon hii leo tarehe 25 Mei, ambapo Umoja wa Afrika uliotokana na Umoja wa nchi huru za Afrika, O
Shughuli za ulinzi wa amani ni zaidi ya kuzuia mapigano bali pia kuweka mazingira ambamo kwao uhusiano wa kijamii unaweza kuwa bora na maisha yakasonga mbele, kwani chokochoko za kijamii zinaweza kuwa chanzo cha mapigano ya kivita.
Wakati dunia inaadhimisha siku ya kwanza kabisa ya kutokomeza Fistula, jeraha alipatalo mzazi wakati wa kujifungua iwapo anakosa huduma muhimu au maungo yake hayajakomaa kubeba ujauzito, hospitali ya CCBRT nchiniTanzaniainasema bado wataalamu hawatoshi kukidhi mahitaji wakati huu ambapo elimu zai
Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Balozi Augustine Mahiga anahitimisha wadhifa wake huo mapema mwezi ujao baada ya kuhudumu kwa miaka mitatu.Katika kipindi chakeSomaliailiyokuwa imegubikwa na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya miongo miwili imeweza kuwa na serik
Mkutano wa kimataifa wa Jamii Habari wa tarehe 13 hadi 17 Mei huko Geneva, Uswisi ulioandaliwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa ikiwemo lile la mawasiliano, ITU pamoja na mambo mengine unaangalia fursa mpya kwa wajasiriamali wanawake za kuimarisha biashara zao kupitia teknolojia ya habari na mawa
Ripoti ya pamoja ya ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa na serikali ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo, DRC, kuhusu unyanyasaji wa kijinsia hususani ni ubakaji nchini humo, inaonyesha kwamba takribani wanawake 200 wamebakwa
Wakati dunia itaadhimisha siku ya kimataifa ya Jamii habari tarehe 17 mwezi huu, wawakilishi wa nchi wanachama wa Taasisi ya kimataifa ya mawasiliano ITU, taasisi za kimataifa, na wawakilishi wa Umoja wa Mataifa wanamkutana mjini Geneva, Uswisi, katika mkutano wa siku tatu unaolenga kuchukua mrej