Sola yawaangazia wananchi wa Bulisa Uganda

25 Januari 2018

Upatikanaji wa nishati  ya umeme barani  Afrika limekuwa tatizo sugu  kwa miongo mingi kutokana na gharama ya kumudu mitambo ya kuzalisha umeme au uwezo wa wananchi wa kawaida kumudu gharama za mihamala ya umeme.

[caption id="attachment_322565" align="aligncenter" width="615"]02makalasolauganda

Upatikanaji wa nishati  ya umeme barani  Afrika limekuwa tatizo sugu  kwa miongo mingi kutokana na gharama ya kumudu mitambo ya kuzalisha umeme au uwezo wa wananchi wa kawaida kumudu gharama za mihamala ya umeme.

Kutipita teknolojia ya sasa  ya nishati ya jua au sola watu wameweza kuzalisha umeme  wa gharama nafuu utokanao na mionzi ya jua. Huko Uganda wananchi wa wilaya ya Bulisa hawakutaka kuachwa nyuma , sasa wameweza kufaidika kwa kuzalisha umeme wa kupitia teknolojia hiyo ya sola . Mwandishi wetu John kibego alifunga safari hadi wilayani Bulisa kushuhudia mwenyewe, Ungana naye katika makala hii..

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud