Skip to main content

Haiti yaadhimisha siku ya walinda amani kwa tamasha

Haiti yaadhimisha siku ya walinda amani kwa tamasha

Midundo motomoto! ndivyo unavyoweza kusema kuhusu tamasha la amani maalum kwa ajili ya kuadhimisha siku ya kimataifa ya walinda amaniwa Umoja wa Mataifa Mei 29.

Tamasha hili limeandaliwa na ujumbe wa UM nchini Haiti MINUSTAH. Assumpta Massoi anakujuza zaidi katika makala ifuatayo. Ungana naye.