Tutambuliwe kama wengine: Jamii asilia ya Batwa

Tutambuliwe kama wengine: Jamii asilia ya Batwa

Jamii ya watu asilia ya kabila la Batwa nchini Uganda imesema kundi hilo halina uwakilishi wa kutosha serikalini, na kuitaka serikali ya Uganda kuijumuisha zaidi katika sekta muhimu za kijamii ili wawezeshwe katika maendeleo.

Katika mahojiano na idhaa hii mwakilishi wa jamii ya Batwa katika kongamano la 14 la watu wa asili mjini New York, Alice Nyamihanda, amesema jamii hiyo ina uwezo na msukumo wa mabadiliko hivyo akasema

(SAUTI ALICE)