Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM Tanzania na kumbukizi ya mauaji ya Holocaust

UM Tanzania na kumbukizi ya mauaji ya Holocaust

Kumbukizi ya miaka 70 ya kukombolewa kwa Auschwitz Birkenau zimefanyika maeneo mbali mbali duniani ikiwemo Tanzania ambapo Stella Vuzo Afisa Habari wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa ameieleza Idhaa hii kile walichofanya leo jijini Dar es salaam.

(Sauti ya Stella)

Na kwa mantiki hiyo lengo ni kuhakikisha..

(Sauti ya Stella)