Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

KASMO FM mkombozi wa wanawake Somalia

KASMO FM mkombozi wa wanawake Somalia

Kwa mara ya kwanza Somalia inapata kituo cha Radio kinachosimamiwa na kuendeshwa na wanawake, KASMO FM.

Radio hiyo itazinduliwa rasmi mjini Mogadishu, Somalia tarehe Tatu mwezi Machi mwaka huu ambayo ni siku ya wanawake duniani na kuanzishwa kwake kunatokana na msaada wa UNESCO. Taarifa zaidi na George Njogopa.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)