Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu watoa maoni kuhusu Radio ya UM

Watu watoa maoni kuhusu Radio ya UM

UM ukiadhimisha siku ya Radio duniani hii leo watu kutoka Afrika wametoa maoni kuhusu umuhimu wa Radio, ikiwemo Radio ya Umoja wa Mataifa. Nilipata kuzungumza na watu mbali mbali waliotoa maoni maoni kuhusu umuhimu wa radio duniani.

(MAONI KUTOKA KENYA)

Nchini Burundi mwandishi wetu Ramadhini Kibuga alipata maoni kutoka kwa waandishi wa habari wenzake nchini Burundi.

(MAONI KUTOKA BURUNDI)

George Njogopa mwandishi wetu Tanzania pia alizungumza na wananchi nchini humo

(MAONI KUTOKA TANZANIA)