Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR kuhakikisha kuwepo utulivu kwenye kambi ya Dadaab

UNHCR kuhakikisha kuwepo utulivu kwenye kambi ya Dadaab

Shirika la kuwahudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR linasema kuwa linatafuta mbinu za kuhakikisha kuwa huduma kwenye kambi ya Dadaab hazivurugiki. Kati ya hatua ambazo UNHCR inataka kuchukua ni pamoja na kuzihusisha jamii za wakimbizi kwenye masuala ya kila siku kambini kwa kuyafikia makundi tofauti yakiwemo ya wazee, jamii za wafanyibiashara na vijana.

Andrej Mahecic ambaye ni msemaji wa UNHCR anasema kuwa wajibu wa wakimbizi utaenezwa kote kwenye kambi ya Dadaab.

(SAUTI YA ANDREA MAHECIC)