Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uhamiaji duniani bado unakabiliwa na changamoto nyingi

Uhamiaji duniani bado unakabiliwa na changamoto nyingi

Ripoti ya mwaka 2011 kuhusu uhamiaji duniani ilibainika kwamba bado suala la uhamiaji linakabiliwa na changamoto nyingi. Bado watu wengi wanaendeleana kuhama kutafuta maisha mazuri hasa kutoka bara la Afrika kwenda Ulaya. Wengi wamejitapa taabani kwa mfano wanaotumia mashua, wengi wamezama baharini wanapovuka bahari wakitumia mashua zilizojaa kupita kisiasi.

Lakini pia wengine maisha yao hubadilika na kuboreka wanapohamia nchini zingine huku wengine wakiteseka kwenye nchi walizohamia. Jason Nyakundi wa Radio ya Umoja wa Mataifa alipata fursa ya kuzungumza na baadhi ya wahamiaji nchini Kenya na ametuandaliwa makala ifutayo. Tega sikio.

(MAHONIANO YA JASON NYAKUNDI)