Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

FAO yaunga mkono ushirikiano wa nchi za kusini

FAO yaunga mkono ushirikiano wa nchi za kusini

Kukiongezeka ushirikiano kwenye nchi za kanda ya kusini, mataifa yanayoendelea yanazidi kuwekeza kwenye miradi ili kusaidiana katika kuimarisha usalama wa chakula.

Shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa FAO hivi majuzi lilisaini makubalino kati ya China na mataifa la Liberia na Senegal ili kusaidia katika utekelezaji wa miradi inayohusiana na usalama wa chakula nchini Liberia na Senegal. George Njogopa na taarifa kamili.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)