Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tume ya UM yaweka malengo kwenye teknolojia ya kisasa

Tume ya UM yaweka malengo kwenye teknolojia ya kisasa

Tume ya Umoja wa Mataifa inayohusika na maendeleo ya teknolojia ya kisasa imefanya mkutano wake wa nne ambapo iliweka malengo mapya na kutoa changamoto kwa dunia nzima.

Tume hiyo ilikubaliana kwenye malengo manne ambayo nchi kote duniani zinahitaji kujitahidi kuyafikia ili kuhakikisha kuwa wananchi wao wamefahamu yanayojiri siku za usoni.

George Njogopa na taarifa kamili