Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vifaa vya kuchezea kutoka Ufaransa vyatoa faraja kwa watoto wakimbizi wa Nepal

Vifaa vya kuchezea kutoka Ufaransa vyatoa faraja kwa watoto wakimbizi wa Nepal

Hali katika kambi ya wakimbizi ya Beldangi Mashariki mwa Nepal sio nzuri lakini watoto waliojaa katika kambi hiyo wiki nzima wamekuwa wakizunguka huku wamejawa na furaha.

Siri ya faraja hiyo ni maboksi 41 yaliyowasili kambini hapo mwezi huu yakitokea makumbusho ya Quai Branly nchini Ufaransa, makumbusho yanayojikita katika sanaa ya mambo ya kale, utamaduni na utaarabu kutoka Afrikam, asia, Ocenia na Marekani. Maboksi hayo yamesheheni midoli yaani toys. George Njogopa na taarifa kamili.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)