Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu wa asili Myanmar kikwazo cha mabadiliko ya kisiasa

Watu wa asili Myanmar kikwazo cha mabadiliko ya kisiasa

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za kibinadamu nchini Myanmar Tomás Ojea Quintana ameonya kwamba hali ya jamii ndogo zilizo kwenye mpaka zinaashiria kushindwa kwa nia ya serikali ya kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini humo.

Akiongea baada ya kukamilisha ziara ya siku nane nchini Thailand ambapo alikuwa akikusanya habari kuhusu hali nchini Mynmar nchi ambayo hajawai kuizuru mtaalamu huyo anasema kuwa ghasia zinaendelea kushuhudiwa katika maeneo haya.

Kati ya dhuluma ambazo jamii hizi hupitia ni pamoja na kupokonywa mashamba, kazi za lazima, kuhamishwa , mauaji na dhuluma za kimapenzi. George Njogopa anaripoti

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)