UM wakabidhi rasmi shughuli za ulinzi za mahakama kwa Sierra Leone
Timu ya Umoja wa Mataifa inayohusika na ulinzi wa amani katika mahakama maalumu nchini Sierra Leone imekabidhi majukumu yake ya ulinzi na usalam kwa serikali ya nchi hiyo.
Timu hiyo iliyowajumuisha vikosi vya ulinzi kutoka Mongolia imekuwa ikifanya kazi nchini humo tangu mwaka 2006.
Mahakama hiyo maalumu inasikiliza mashtaka dhidi ya watuhumiwa wanaodaiwa kutenda jinai wakati wa vita vya kiraia vilivyoikumba Sierra Leone na kumalizika mwaka 2006.
Peter Andersen ni msemaji wa mahakama hii iliyoko mjini Freetown:
(SAUTI YA PETER ANDERSEN)