Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Afisa wa UM alaani vikali mauwaji ya waandishi wa habari Honduras

Afisa wa UM alaani vikali mauwaji ya waandishi wa habari Honduras

Umoja wa Mataifa umelezea kusikishwa kwake kutokana na hali ya mambo huko Hondurus ambako kumeshuhudia waandishi wa habari 9 wakiuwawa ndani ya mwaka huu pekee.

Mkurugenzi huyo amelaani vikali mauwaji ya hivi karibuni ya waandishi wa habari wawili na kuelezea kuwa wakati umefika kwa kukomeshwa kwa vitendo kama hivyo ambavyo vinanyima uhuru wa demokrasia ya ukweli

Kulingana na report iliyotolewa na waandishi wasio na mipaka, mauwaji ya waandishi hao wawili, inafanya idadi jumla ya waandishi 8 waliouwawa ndani ya mwaka huu pekekee katika nchi hiyo ya Hondurus