Skip to main content

Ripoti ya UNDP kuhusu maendeleo Uchina inasema nchi hiyo lazima ipunguze gesi ya Cabon

Ripoti ya UNDP kuhusu maendeleo Uchina inasema nchi hiyo lazima ipunguze gesi ya Cabon

Wakati huohuo ripoti iliyoandaliwa na shirika la maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP kuhusu maendeleo ya watu Uchina inasema nchi hiyo ni lazima ichukue mtazamo wa matumizi madogo ya cabon kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi.