UM sasa wafanikiwa kuhudumia chakula wakazi wa Ghaza 900,000

28 Januari 2009

Kadhalika UNRWA hii leo imeripoti WaFalastina 900,000 katika Tarafa ya Ghaza, sasa wanahudumiwa chakula na UM kufuatia mashambulio haribifu ya karibuni ya Israel katika eneo hilo.

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter