Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mukhtasari wa mikutano Makao Makuu

Mukhtasari wa mikutano Makao Makuu

Baraza la Usalama leo linazingatia hali katika Afghanistan. Vile vile kwenye kumbi kadha za Baraza Kuu warsha mbalimbali zinafanyika kusailia miradi ya kukuza maendeleo, ikijumlisha mijadala ya kuongeza juhudi za kuwafunza vijana uongozi bora dhidi ya hatari ya maambukizo ya VVU.~~