Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Misaada haba ya kiutu yaruhusiwa kuingia Tarafa ya Ghaza na Israel

Misaada haba ya kiutu yaruhusiwa kuingia Tarafa ya Ghaza na Israel

UM umearifiwa Israel imefungua, kwa muda, vivuko vya mipakani na Tarafa ya Ghaza, na kuruhusu misaada ya chakula kuingizwa kwenye maeneo yaliokaliwa kimabavu ya WaFalastina.