Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

KM amewasilisha ripoti mpya ya MDGs kwa 2008

KM amewasilisha ripoti mpya ya MDGs kwa 2008

Nilipokuwa ninaelekea studio KM Ban Ki-moon alikuwa anajitayarisha kutangaza rasmi, kwenye Makao Makuu, Ripoti Kamili juu ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) kwa 2008. Tutakupatieni maelezo ziada, na kamili, kwenye taarifa zetu za wiki.~