Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

BU laihimiza serikali na waasi Burundi kutekeleza makubaliano ya kusimamisha mapigano

BU laihimiza serikali na waasi Burundi kutekeleza makubaliano ya kusimamisha mapigano

Ijumanne Baraza la Usalama lilitoa taarifa kwa waandishi habari kuhusu Burundi, iliosomwa na Balozi Jan Grauls wa Ubelgiji, Raisi wa Baraza kwa mwezi Agosti.