Wataalamu wakutana Uswidin kutathminia udhibiti wa ujambazi wa mipangilio
Hii leo katika mji wa Stockholm, Uswidin kumeanzishwa majadiliano ya siku mbili yenye lengo la kutathminia namna ya kukabiliana na vitisho vya makundi ya ujambazi wa mipangalio wa kimataifa, na taratibu za kuchukuliwa kudhibiti jinai inayoendelezwa na makundi haya.