Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano wa kudhibiti saratani duniani waanza Geneva

Mkutano wa kudhibiti saratani duniani waanza Geneva

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza leo Geneva, baada ya kufunguliwa mijadala ya siku mbili ya Mkutano Mkuu wa Dunia dhidi ya Saratani, ya kwamba ulimwengu unakabiliwa hivi sasa na tatizo la watu milioni 11 wanaougua maradhi ya saratani.