Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mjumbe wa KM Sudan ashtumu shambulio la waangalzii wa kijeshi kusini

Mjumbe wa KM Sudan ashtumu shambulio la waangalzii wa kijeshi kusini

Ashraf Jehangir Qazi, Mjumbe Maalumu wa KM kwa Sudan, amelaumu, kwa kauli nzito kabisa, shambulio la risasi dhidi ya Mwangalizi mmoja wa Kijeshi wa UM pamoja na Mchunguzi wa Vikosi vya Taifa vya Sudan katika mji wa Agok. Shambulio hilo lilitukia Ijumatatu asubuhi na liliendelezwa na wafuasi wa kundi la waasi wa SPLA.