Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Masuala ya usalama Afrika yanasailiwa tena katika BU

Masuala ya usalama Afrika yanasailiwa tena katika BU

Baraza la Usalama (BU) Ijumanne linazingatia masuala ya usalama na amani katika bara la Afrika. Suala liliopewa umbele zaidi ni lile linalohusu vurugu liliolivaa Zimbabwe hivi sasa.