Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano wa amani kwa Usomali umemalizika Djibouti bila mwafaka

Mkutano wa amani kwa Usomali umemalizika Djibouti bila mwafaka

Mkutano wa kurudisha amani Usomali uliofanyika Djibouti, na kusimamiwa na UM, umeripotiwa kumalizika karibuni bila ya maafikiano miongoni mwa yale makundi yaliohusika na mgogoro ulioselelea kieneo kwa miaka 18.