Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtaalamu juu ya maeneo yaliokaliwa kimabavu ya Wafalastina aomba madaraka zaidi

Mtaalamu juu ya maeneo yaliokaliwa kimabavu ya Wafalastina aomba madaraka zaidi

Richard Falk, Mkariri Maalumu wa UM juu ya haki za binadamu kwenye Maeneo Yaliokaliwa Kimabavu ya Wafalastina, leo ameliambia Baraza la Haki za Binadamu mjini Geneva kwamba atahitajia adhaminiwe madaraka ziada yatakayomwezesha kuchunguza pia ukiukaji wa sheria za kiutu za kimataifa unaoendelezwa na Wafalastina, halkadhalika.~