Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wapatanishi wa Mashariki ya Kati waitaka Israel kukomesha kujenga kwenye ardhi za Wafalastina

Wapatanishi wa Mashariki ya Kati waitaka Israel kukomesha kujenga kwenye ardhi za Wafalastina

Wapatanishi wa Pande Nne juu ya Suala la Mashariki ya Kati wametoa mwito maalumu Ijumaa mjini London wenye kuitaka Israel kusitisha, halan, ujenzi wa makazi mapya ya Mayahudi kwenye ardhi zilizokaliwa kimabavu za Wafalastina, hatua ambayo inaaminika ikitekelezwa itasaidia kufufua mazungumzo ya amani kati ya Waisraili na Wafalastina.

Sikiliza taarifa zaidi kwenye idhaa ya mtandao.