Mauaji ya mfanyakazi wa huduma za kiutu Chad yamelaaniwa na UM

Mauaji ya mfanyakazi wa huduma za kiutu Chad yamelaaniwa na UM

Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji limeripoti kusikitishwa sana na mauaji ya Pascal Marlinge, mhudumia misaada ya kiutu wa Ufaransa, yaliotokea Alkhamisi Chad mashariki. Marehemu huyo alikuwa akitumikia shirisika lisio la kiserekali linalosaidia watoto (Save the Children).