Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mateso ya watoto kushtumiwa na UNICEF nchini Zimbabwe

Mateso ya watoto kushtumiwa na UNICEF nchini Zimbabwe

Dktr Festo Kavishe, Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la UM juu ya Mfuko wa Maendeleo kwa Watoto (UNICEF) nchini Zimbabwe, ameshtumu utumiaji wa nguvu na mabavu ulioripotiwa kufanyika dhidi ya watoto, hali ambayo ilizuka kufuatia uchaguzi.