Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO inaonya, vitisho vya usalama hudhoofisha maendeleo ya afya ya jamii

WHO inaonya, vitisho vya usalama hudhoofisha maendeleo ya afya ya jamii

Dktr Margaret Chang, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwenye hotuba ya ufunguzi aliowasilisha mbele ya wajumbe waliohudhuria kikao cha mwaka mjini Geneva, alitahadharisha kwamba afya ya wanadamu sasa hivi inakabiliwa na vitisho hatari vya aina tatu -