Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkuu wa WFP kuzingatia athari za mfumko wa bei za chakula na nishati Afrika

Mkuu wa WFP kuzingatia athari za mfumko wa bei za chakula na nishati Afrika

Josette Sheeran, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la UM juu ya Miradi ya Chakula Duniani (WFP) leo ameanza ziara ya siku nne kutembelea Ethiopia na Kenya, kwa makusudio ya kushauriana na viongozi wa Afrika juu ya hatua za kuchukuliwa kukabiliana na matatizo ya mifumko ya karibuni ya bei ya chakula na bei ya nishati kwenye masoko ya kimataifa.

Sikiliza ripoti kamili kwenye idhaa ya mtandao.